Sunday, 21 January 2018

PICHA

PICHA  YA MKAHAWA


"..................YOU ARE WELCOME...."
Katika mkahawa wetu kuna aina mbalimbali ya vyakula kuna vyakula vya baharini na nci kavu, kwa mfano ambavyo kutoka nchi kavu kama wali, ugali, maharage, muhogo,kunde, mbogamboga kama mchicha, matembele, kisambu na kadhalika.
        Tunawajali sana wateja wetu kwani wao ndio waendeshaji wa harakati zetu zote za kuweza kupata kipato.


Image result for restaurants near me


KARIBU TENA KUJIONEA NA KUJINUNULIA AINA ZA VYAKULA MBALIMBALI

Tupo wazi masaa yote (24), kwa kuwathamini wateja wetu wa kila siku, kwani sisi kama sisi tunajua shida za wote ,ili kuwasaidia raia hatunabudi kuwepo muda wote wa kazi .hivyo karibuni sana................






No comments:

Post a Comment